Brandon M.
Nyumba yangu ni mpya na sikutaka kufunga Taa za umeme.Mmenifata hadi huku gongolamboto na kunifungia taa nje na ndani na hadi kwa fremu yangu ilio pembeni ya nyumba.Huduma ni nzuri na nmeifurahia.Ntawaletea wateja wengine wanaohitaji taa za solar maeneo ya huku
Joyce K.
Nliweka oda ndani ya muda mfupi nkaletewa hapa kwangu tabata kinyerezi.Mlimleta fund wenu anifungie pia.Nimeridhika na huduma.Taa zina mwanga mkali na zitanifaa kwa kuongeza ulinzi nyumbani kwangu
Martin S.
Nje ya nyumba yangu kulikua na giza sana.Japo nna generator ila nataka kupunguza gharama ya taa za nje.Kwa mbele kwenye nyumba yangu zimetosha taa 2 tu za watt150.Nimefurah sana.Familia nzima wameona na wamekubali huduma yenu.Fund wenu alikuja haraka asubuh kuona eneo na baadae jion ndani ya dakika chache wakafunga taa zote mbili.Ntaongeza zingine 4 za watt150 kwa ajili ya nyumba yangu iliopo Morogoro
Erick K.
Mi naishi mlandizi karibu na site mpya za viwanda vya wachina.Nimekua mfano wa kuigwa huku baada ya kufunga taa zenu za watt120.Zinawaka vizuri ndo maana nimefunga hadi kwenye fremu zangu nlizojenga nje ya nyumba yangu.Huku umeme bado sijaweka hivyo hizi taa zinanisaidia sana Usiku kwenye suala la ulinzi.Nimeamua ku set ziwe zinawaka mtu akipita.Ulinzi kwangu ni muhimu kwasababu nnamiliki mifugo mingi hivyo naogopa sana wezi usiku.
Sebastian G.
Aisee hii taa ni kiboko.nlikua nasita sana kuagiza na sikuamini kama mngeniletea hadi kigoma huku.Nlidhani mnatania.mitandao nimekua siamin kabisa kutokana na maneno ya wenzangu wa kazini.Walikua hawaamini kama mzigo ungefika.Sahiv wanaulizia mawasiliano yenu na nimeshawapa tayari.Wakinunua nyingi natumaini mtanifikiria kunipa punguzo kidogo nkija kununua tena.
Nassoro K.
Nyuma ya nyumba yangu palikua hapapitiki kwa amani usiku.hii ni kwasababu ya giza totoro.Sasa hivi mwanga umekua mkali usiku baada ya kufunga hii taa ya watt120.Ntawaambia na wengine wapate kununua hizi taa kwakweli
Josephat M.
Nyumba Yangu Imekua Haina Taa Usiku Kwa Muda Mrefu Sasa.Kurudi nyumbani nimekua nikijihami sababu ya giza zito nalokutana nalo.Naishi TUKUYU na Sikutegemea kama bidhaa za Solar za Almasishop Zitanifikia.Leo Ndo Nimefunga TAA Ya Solar Ya Watt120.Nimeridhika Na Ubora wake
Rutayuga F.
Mwanga wake ni mzuri.Nlimpa fund wangu anifungie asubuh.naona ilipata chaji ya kutosha.Porini kwangu huku nlihitaji sana taa za solar.Asanteni
Christian M.
Site yangu kazi zinaendelea hadi usiku kwasasa.Naomba mtimize ahadi yenu ya discount nkija kununua taa za garden yangu.Rimoti ya taa ilipotea site.ntahitaji mnitumie nyingine tafadhali.
Gilbert G.
Uchochoro wa nyuma ya nyumba yetu umekua na giza kali sana.Nimefunga hii taa ili kusiwe kunatisha usiku.Nitawarejea endapo nkitaka kuongeza nyingine
Hakimi H.
Taa iko vizuri.Uwanja wa pembeni ya nyumba hauna giza kama mwanzo.Big up Almasishop kwa huduma nzuri.Nimeipokea Tanga ndani ya siku moja tangu nlipoagiza kutoka kwa wakala wenu huku.